Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,265
Ndio hivyo Eclat! Nashindwa kuelewa yaani hata mtu ukipita na Gari tu wanawake wanakutolea macho.Kuna kaukweli hapa, mwanaume anaweza hata kununua baiskeli ya kupiga misela ya karibu wakati mama ana pack saloon na iko dakika tano kutoka home
Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari mara nyingi litakuwa linatumiwa na mke. Wanaume wengi hawajali hivyo yeye ataamua kupata daladala. Shida nyingine inayoonekana kwenye jamii wanawake wengi wakiwa wanamiliki magari wanakuwa jeuri na viburi hawana heshima kwa waume zao. Mfano mzuri nilishuhudia jamaa yangu ndoa yao ilivunjika baada ya mkewe kununua gari tu. Ijapokuwa jamaa nae ana gari lake lakini mwanamke alianza jeuri. Je mchawi wa wanawake ni magari? Karibuni tujadili.
Kwa mfano?Gari tamu nyie.. Sema inategemea na gari
Mimi Nafikiri hii inategemea Kwa mfano Unakuta Mwanamke ana gari Vitz Au Paso halafu Mimi nina Rav 4 sasa jeuri itaanzia wapi?Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari mara nyingi litakuwa linatumiwa na mke. Wanaume wengi hawajali hivyo yeye ataamua kupata daladala. Shida nyingine inayoonekana kwenye jamii wanawake wengi wakiwa wanamiliki magari wanakuwa jeuri na viburi hawana heshima kwa waume zao. Mfano mzuri nilishuhudia jamaa yangu ndoa yao ilivunjika baada ya mkewe kununua gari tu. Ijapokuwa jamaa nae ana gari lake lakini mwanamke alianza jeuri. Je mchawi wa wanawake ni magari? Karibuni tujadili.
Kwangu mimi, the most best cars are:Kwa mfano?
Chezea wanawake wewe, kuna mke wa jamaa yangu alinunua kisuzuki kidogo (nimekisahau jina) ila alivyokuwa anamletea mme wake nyodo ni hatariMimi Nafikiri hii inategemea Kwa mfano Unakuta Mwanamke ana gari Vitz Au Paso halafu Mimi nina Rav 4 sasa jeuri itaanzia wapi?
Kati ya hizo una ipi?Kwangu mimi, the most best cars are:
1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Kwangu mimi, the most best cars are:
1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Aiseeeeee.Kwangu mimi, the most best cars are:
1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Wakati huo ww unatumia harrierKwangu mimi, the most best cars are:
1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65