Nani huyo
mie haka katundu kamoja sikioni kananitosha tu
Sio kweli kama una katundu kamoja tu!mie haka katundu kamoja sikioni kananitosha tu
mie haka katundu kamoja sikioni kananitosha tu
mmmh kutobolewa naogopa kuweka matundu mengi hivyo ndo nini?
Sio kweli kama una katundu kamoja tu!
the same to me
miss neddy we puani umetoboahahahaha hoe ongeza na cha puani
ati ndio urembo
mie haka katundu kamoja sikioni kananitosha tu
mie natamani kuongeza la pili ila naogopa hatareee.