ndo maana im very proud to be Chagga man aka cornman!KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARA!!!!!!!!!!? Mbona nyie mnatufokea? Na wewe mwanaume kwanini ufanye JEURI na KIBURI hadi ufokewe??????????? Mnaboa saa zingine!
Ila mwanaume tafuta PESA sanaaa! Money cant buy you happines but it can spare you the drama and unecesary shame like this. Ukizingatia uko broke unamtegemea mkeo! Haloooooooo! Uapigwa hadi makonzi nini kufokewa!
Mi huwa nasema Wanawake wazuri wote walishaolewa yamebaki Manungayembe yanahangaika tu. Mjini hapa yaliyobakia ni makahaba wapenda pesa tuu kwa sasa, na ukioa mmoja wapo haya lazima yakukute. Sio ndoa za sasa majanga, Wanawake wa sasa majanga.
wengine ni sehemu ya mapenzi yaoo
Hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke kumuheshimu mume.
sasa wee unataka mke hakuheshimu wakati yeye na wewe mlishindwa heshimu miili yenu wakati wa uchumba kwa kugegedana.
tuwe makini lakini tunapochagua wake
KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARA!!!!!!!!!!? Mbona nyie mnatufokea? Na wewe mwanaume kwanini ufanye JEURI na KIBURI hadi ufokewe??????????? Mnaboa saa zingine!
Ila mwanaume tafuta PESA sanaaa! Money cant buy you happines but it can spare you the drama and unecesary shame like this. Ukizingatia uko broke unamtegemea mkeo! Haloooooooo! Uapigwa hadi makonzi nini kufokewa!
Mwanaume wa hovyo hovyo na mzinifu ndiyo huwa anafokewa maana Mke kajua udhaifu wake!
Mme anayetimiza majukumu yake ndani ya ndoa;mme kichwa cha familia na ambaye frequently hukaa chini na Mke wake kupanga issues zao HAWEZI fokewa wala fokea!
shikamoo kaka yangu heri ya x-mass na mwaka mpya mungu aendelee kukutunza kaka.miss u sanaukiona mwanaume anafokewa na mkewe mbele za watu na katulia tuli, ujue tayari amepoteza heshima yake na haki yake ya kuwa kichwa ndani ya nyumba! Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kushindwa kujitambua kwa kujua wajibu wake ndani ya nyumba ya kuwa yeye ndiye mkuu wa familia na anapaswa kuiongoza, kuihudumia na kuitunza familia yake.
Baadhi ya vijana wa sasa wamepoteza sifa hii muhimu, na kujikuta wameacha suala la kuitunza familia na kuilinda kubaki kwa akina mama, na hivyo wamama waliochoshwa ambao pia hawajui waume zao wana nafasi gani ndani ya familia kuamua kuwadharau na kuwaweke waume zao level moja sawa na watoto wao.
Nakerwa na hizo tabia za hao wanaume, nakerwa pia na wanawake wenye hizo tabia za kuwafokea waume zao mbele za watu!
mimi mume wangu hata kumwongelesha kwa sauti ya juu sidhubutu hata kama hajaniudhi ,the way he is respected utajiona mjinga wewe mwenyewe.hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? Halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke kumuheshimu mume.
Hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke kumuheshimu mume.
Halafu mwenzio akichoka na kuamua kukumwaga, hukawii kurudi kwa mchozi na magoti... Maana wengine huwa wanafoka huku hawana mbele wala nyuma.KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARA!!!!!!!!!!? Mbona nyie mnatufokea? Na wewe mwanaume kwanini ufanye JEURI na KIBURI hadi ufokewe??????????? Mnaboa saa zingine!
Ila mwanaume tafuta PESA sanaaa! Money cant buy you happines but it can spare you the drama and unecesary shame like this. Ukizingatia uko broke unamtegemea mkeo! Haloooooooo! Uapigwa hadi makonzi nini kufokewa!
Halafu mwenzio akichoka na kuamua kukumwaga, hukawii kurudi kwa mchozi na magoti... Maana wengine huwa wanafoka huku hawana mbele wala nyuma.
Waliolelewa na masingo parenti na wa familia ya watoto wote kumi wa kike tuu... Halafu ukute hao wakike kumi wamelelewa na mama pekee... Ndo utajuta... Full lara 1...mazingira,malezi,kampani,vichocheo,k.m.bange,pombe etc,,,hutoa products za aina hiyo
Vipi akitajirika tajiiiiii... Utarudi kwa magoti na machozi..???Hahahaaaaaaa! Akhaa! Kama UNA MPUNGA WAKO, akiondoka KAKUPUNGUZIA ZIGO! Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Ukiona NIMERUDI labda KATOKA KIMAISHA!!!!!!!!! Na hapo sirudi coz nimejuta au nampnda na kuona umuhimu wake, la hashaaa! NARUDI KUJICOMPASATE NA KU CLAIM WHAT IS RIGHTFULLY MINE!!!!!!!!!!!
We ushaona mwanaume kafilisika fili,afu mkewe katoka kimaisha akarudi kumuomba msamaha? Thubutuuuuuuuu!