nampa kibano hajawahi kuona,fedheha na zarau ndio ktu huwa sitaki na ntaifight at any cost
Labda kalishwaa limbwata ya nyama ya kondooo
nampa kibano hajawahi kuona,fedheha na zarau ndio ktu huwa sitaki na ntaifight at any cost
Hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke kumuheshimu mume.
Mwanaume wa hovyo hovyo na mzinifu ndiyo huwa anafokewa maana Mke kajua udhaifu wake!
Mme anayetimiza majukumu yake ndani ya ndoa;mme kichwa cha familia na ambaye frequently hukaa chini na Mke wake kupanga issues zao HAWEZI fokewa wala fokea!