Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

leo ukinishauri nifanye starehe gani zaidi ya kuvuta sigara, sonyo, bange,kiko na kunywa tusker, valuu na madadii....naacha leo leo
 
Kuvuta sigara kwa mabinti tz wengi wanakuwa ni wale wanaoishi karibu na wazungu ama kufanya nao kazi ama wenza wao lakini hawakubaliki kwenye jamii sana.

Hata ukichimba history ya bibi zetu waliokuwa wanavuta sigara ni wale waliokuwa free minded hivi akina bibi wengi walikuwa wanatumia ugoro hata wao hawakukubalika sana, hapa naongelea kabila langu wengine sijui

kwa nchi za wengine kuvuta sigara sijui kama ni kawaida ila wengi wanavuta hasa nchi zenye baridi labda ni sababu ya kutafuta joto ila bahati walionayo huko makwao they dont judge each other kama sisi, wameelimika kwa kiasi chao kudeal na chaos zao.
Same applies to pombe lakini hapa wana tatizo la alcoholism kubwa sana.

Duh, kwa mama wa kitanzania kupiga masanga arudi home bwax maisha yenyewe haya ya kuunga itakuwa ngumu sana kwa familia. Na bado haikubaliki japo vinafanyika.

Binafsi si-support mwanamke kuvuta sigara na kupiga pombe kali, naona haijatulia, haipendezi, kama inapunguza ule umwanamke hivi anakuwa kama dont know what.
 
Kunywa kwa kiasi nyumbani au kwenye tafrija si mbaya. Sigara si nzuri hata kwa wanaume. It isnt cool.
Wanawake wanaokunywa bar, tena wengine kaunta kabisa hawafai. Kwenye kamasutra wanaitwa public women. If u want 2 know how to consume a public woman soma kamasutra

Je nikikaa kaunta na soda, na mimi ntakua public woman?
 
Mkuu mleta uzi, huko ndo tunaelekea. Subiri kidogo iingie serikali mpya ambayo itabana mianya ya rushwa, fedha mtu kuipata hadi uwe professional vinginevyo upige kazi kweli kweli. Za kupigia pombe na sigara utazipata. Angalia nchi hizo zilizoendelea maisha ya watu kwa ujumla yakoje? Mi naimani muda si mrefu wanawake wataanza kupiga fegi hazarani kama wanavyofanya kwenye pombe.

Ni post yangu ya 500.
 
leo ukinishauri nifanye starehe gani zaidi ya kuvuta sigara, sonyo, bange,kiko na kunywa tusker, valuu na madadii....naacha leo leo
preta upo counter ipi unakata dadii? Sema iyo wakikushika ni jela nayo imeharamishwa mana inasababisha njaa nchini

1.Mimi nikiwa mwanaume sioni tatizo la mwanamke kunywa pombe
2.Wengine hunywa kwa starehe wengine frustration na wengine mazoea.
3. Cha msingi ni kwa wanaume na wanawake kuwa waanagalifu wakati wa kunywa,ujue uwezo wa mwili wako, kama uwezo wako ni bia KUMI NA NANE
18 basi usizidishe. Vinginevyo utashindwa kujimudu,unaweza kuadhirika kwa kuanza kusasambula nguo hadharani au kufanya jambo lolote la aibu. OTHERWISE KUNYWENI TU DADA ZANGU,
 
1.mimi nikiwa mwanaume sioni tatizo la mwanamke kunywa pombe
2.wengine hunywa kwa starehe wengine frustration na wengine mazoea.
3. Cha msingi ni kwa wanaume na wanawake kuwa waanagalifu wakati wa kunywa,ujue uwezo wa mwili wako, kama uwezo wako ni bia kumi na nane
18 basi usizidishe. Vinginevyo utashindwa kujimudu,unaweza kuadhirika kwa kuanza kusasambula nguo hadharani au kufanya jambo lolote la aibu. otherwise kunyweni tu dada zangu,
kwani kuna wakuzuia?

1.Mimi nikiwa mwanaume sioni tatizo la mwanamke kunywa pombe
2.Wengine hunywa kwa starehe wengine frustration na wengine mazoea.
3. Cha msingi ni kwa wanaume na wanawake kuwa waanagalifu wakati wa kunywa,ujue uwezo wa mwili wako, kama uwezo wako ni bia KUMI NA NANE
18 basi usizidishe. Vinginevyo utashindwa kujimudu,unaweza kuadhirika kwa kuanza kusasambula nguo hadharani au kufanya jambo lolote la aibu. OTHERWISE KUNYWENI TU DADA ZANGU,

Hapo kwenye red:
1. Kama mtu anakunywa kwa STAREHE si itabidi anywe nyingi ili starehe imkolee??
2. Kama ni kwa FRUSTRATION - inabidi pia kunywa nyingi kuondoa hiyo hali??
3. Kama ni kwa MAZOEA - si inasemekana MAZOEA YANA TAABU - yaani ukizoea ni ngumu kuacha??

My take nadhani kunywa ni LIFE STYLE ya mtu anayoamua kuishi - na whatever reason atakuwa nayo MWISHO WAKE NI KAMA ULIVYOSEMA ...........KUAIBIKA .... ikiwa kuvua nguo hadharani..............kuugua magonjwa e.g. Ini.............Kufuja Pesa..........Kuzeeka upesi ... etc. TAFADHALI USIWASHAURI WANYWE ... AFADHALI UWASHAURI WAACHE.

Ni maoni yangu
 
leo ukinishauri nifanye starehe gani zaidi ya kuvuta sigara, sonyo, bange,kiko na kunywa tusker, valuu na madadii....naacha leo leo

Vipi Mikasi!!! au hiyo siyo starehe. Hivi kweli wewe unatumia hizo!!!!.
 
haimaanishi nzuri kwa wanaume lakini walezi wa familia ni kina mama ndo maana msisitizo kwa wanawake
 
acha wanywe walewe si ndo wanalegea anakuachia bila wasi unajiswafi kabisa
 
preta upo counter ipi unakata dadii? Sema iyo wakikushika ni jela nayo imeharamishwa mana inasababisha njaa nchini

Smile nimefulia, kuna lingera nimelifuma ndio natafuta nalo usingizi....halafu leo nimebakiwa na nyota tu....kweli kuchacha kubaya.....
 
Back
Top Bottom