Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

..... Inanifurahishaga sana hili, umekuja na Rambo!! Ukiondoka waondoka na Nyumba 2 na gari juuu. Chezeya!!!!!!!!
Gold Digger!!

on topic: part of your observation is due to the fact that wanaume wengi hatuombi talaka, either tuna
  1. chukua nyumba ndogo pembeni wakati mke anaendelea na egeyn zake
  2. piga kibuti mke kama maji yamezidi unga
 
Ya nini kujifia na kijiba cha roho kwa mtu uliyemkuta na miaka 32?
 
Ya nini kujifia na kijiba cha roho kwa mtu uliyemkuta na miaka 32?

Eti bana,kisa . . . . . ??
Wengine eti,siwezi kuishi bila wewe,kisa eti anampenda lol!
 
akiomba unampa si ataenda kujiuza tu wanawake wengi hawana sifa za kuolewa wakiachika mwishowake huwa wanakuwa wakugawa kwa kila anaye karibia angalieni idadi kubwa ya wathirika wa HIV ni wanawake maana wanatumia mili yao ili kujihudumia kama matumizi kumbe hawajui wanatumika kama chombo cha starehe tu
 
Kunyanyaswa ni mojawapo ya sababu, lakini zipo na nyingine.. Mfano ya uzinzi, n.k.

Eiyer .. Mtu akienda kudai talaka.. Ujue yamemfika lol..As long as kama hyo ndoa hakushurutishwa aliifunga kwa kumpenda mwenzi wake kwa dhati.

Hivyo akifikia maamuzi hayo ujue hali si shwarii.. na ameona ni heri awe nje ya hayo mahusiano kuliko kuendelea kuwa nayo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Gold Digger!!

on topic: part of your observation is due to the fact that wanaume wengi hatuombi talaka, either tuna
  1. chukua nyumba ndogo pembeni wakati mke anaendelea na egeyn zake
  2. piga kibuti mke kama maji yamezidi unga

Thats ma middle name baby!!!!! Lara Gold Digger -------! UPO HAPO BABU!?
 
wajua pia sasa hata wanaume wananyanyaswa sana na wanawake Jesus hii inatokana na kuwezeshwa ka kila kitu ?
wajua wanaHume wanaamua kunyamaza tu sasa kuona aibu kutoa taarifa mahala husika...
 
HATIMAYE NIMEIPENDA II, MDA WOTE TNASHAMBULIWA WANAUME LOL ATA RAHA YA KUSOMA MICHANGO IKAISHA, WANAWAKE PIA CHANZO CHA NDOA KUVUNJIKA WALOSOMA NDO BALAA HAWAFAI KUOA KABISa
 
wajua pia sasa hata wanaume wananyanyaswa sana na wanawake Jesus hii inatokana na kuwezeshwa ka kila kitu ?
wajua wanaHume wanaamua kunyamaza tu sasa kuona aibu kutoa taarifa mahala husika...

hilo nalo neno
 
wajua pia sasa hata wanaume wananyanyaswa sana na wanawake Jesus hii inatokana na kuwezeshwa ka kila kitu ?
wajua wanaHume wanaamua kunyamaza tu sasa kuona aibu kutoa taarifa mahala husika...

Hivi mwanaume ananyanyaswaje na mwanamke?
 
nadhani umesahau, naomba nikukumbushe huwa wanafanya na wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…