PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Mwanzo alijiita jina gani na sasa anajiita nani?Kumekuwa na kundi kubwa la baadhi ya wanawake kubadili majina yao halisi pale siku ya kwanza unapomtokea.
Baada ya siku kadhaa ndio unaweza kuja fahamu jina lake halisi.
Sijui huwa kuna nini nyuma ya pazia, au ndio fashion??
Na wanaume siku hizi wapoKumekuwa na kundi kubwa la baadhi ya wanawake kubadili majina yao halisi pale siku ya kwanza unapomtokea.
Baada ya siku kadhaa ndio unaweza kuja fahamu jina lake halisi.
Sijui huwa kuna nini nyuma ya pazia, au ndio fashion??
Ila asilimia kubwa sio kuulizia kwa ubaya, na hasa katika kufahamiana ktk jamii zetu si jambo la ajabuThe world is a very dangerous place filled with dangerous people, so akifanya ivo ni for security purposes.. No pun intended.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni hiyo tabia bhanaNa wanaume siku hizi wapo
Sio sisi tu
Mi hapo zamani nikiwa sipendi kutaja jina unalazimisha ukiniuliza tu jina halima linanijia kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaropoka lolote tu linalowakalia sawaMwanzo alijiita jina gani na sasa anajiita nani?
Wengine wanakuvutia waya tu kwa majina romantic.
Unakuta mtu anaitwa kacholijo.
Ukimuuliza unaitwa nani atakuambia kajojo. Hapo anakuvutia waya...anakusaidia kumtia kwa box.
Shida siju ni nini?wanaume pia wanadanganya majina.oh nyumbani naitwa hivi.simu inajina lingine n.a. kazini jina lingine mmmh watu sio waaminifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujambo Halima.Na wanaume siku hizi wapo
Sio sisi tu
Mi hapo zamani nikiwa sipendi kutaja jina unalazimisha ukiniuliza tu jina halima linanijia kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa hapa wanahusika wale wanawake wanaotokewa na kubadili jinambona hata wanaume wanabadili majina,mfano huyu daudi jamaa wa kolamije
Haha!
La nyumbani au shule kawaida, shida kutaja lile ambalo halihusiani kabisa na weweMimi mpaka leo nadanganya jina. Tena kama huku mtu akiniuliza namtajia jina langu la nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
La uongo kabisa siwezi nitasahau bureLa nyumbani au shule kawaida, shida kutaja lile ambalo halihusiani kabisa na wewe