Wanawake na kombe la dunia

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari vp wanajamii forum,kombe la dunia ndio hilo najua wanawake wetu wengi hawapendi mpira kwa hiyo mapenzi lazima yapungue kidogo maana utaona mista yuko bize na rimoti hakuna maria clara,sijui alejandro,cjui na nani wengine wa kuigiza
 
Nahamishia mto ofisini hadi kombe la dunia litakapoisha.

Mwendo wa kulala saa 9 na kuamka saa 10.30 asubuhi.
 
Huu mwezi uzalishaji utapungua aisee!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…