IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,492
- 5,345
Kila kona ni ushoga, viongozi wakuu ndio wanazidi kuupalilia... Kuna hatari siku za usoni wanawke wakakosa watu wa kuwaoa. Wenyewe wamekaa kimyaaaa! Hawataki hata kuandama kulipinga hili! Au wanawake mnapenda kukaa bila kuolewa? Au kushare wanaume? Je, na hili mnasubiri wanaume waandamane kama kawaida yenu?