Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Afu unajikuta Einstein. Ng'ombe wewe.😁😁
Lazima ule mbata za maana afu unalala nazo ukiamka unaamkia kwenu ukafunzwe upyaUna uhakika sio muvi? Hivi kweli mwanaume gani alete nyama ukatupe jalalani abakie anatabasamu na kesho alete tena mweeeh...hapa mzee baba umetufunga kamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ule mbata za maana afu unalala nazo ukiamka unaamkia kwenu ukafunzwe upya
Sent using Jamii Forums mobile app



