Wanawake muwe mnaridhika bhana!! Aaaarg.......

Wanawake muwe mnaridhika bhana!! Aaaarg.......

Nikikupa zawadi tu, usipotoa neno la shukrani nakupa makavu ya uhakika.

Sasa, nilete kilo ya nyama uitupe! Siku hiyo watakukuta icu nami nikiwa central au nishasepa kusikojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli wema hawadumu Hata mim nilishapoteza mtu ambae ni mjali wa kila hali hata kwa afya ya wazazi wangu mavazi bila ya kumuomba vocha na pesa ya matumizi hata tokea kama yeye daima ila ndo hivo tumshukuru mungu kwa kila jambo yalopita yamepita .
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyama iletwe nikaitupe jalalani niangaliwe hivi hivi nisizabwe kibao?
 
Back
Top Bottom