Wanawake muache negative views kwa waume zenu

Wanawake muache negative views kwa waume zenu

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Kwa usema kweli my wife amesafiri, tokea aondoke kila mda akipiga simu mara oh uko na mwanamke?mara aseme nisogelee tv kama ni usiku,akipiga simu labda imeishiwa moto hapo ugomvi sasa leo kapiga kupokea nikamjibu sivyo akasema uko na dem? Nkasema yes
 
Sasa analia ati tuna do! Na huyo dem wake wa kusingizia afu yuko mbali hapa nafikiria kwakuwa haniamini si bora nijichukulie dem kabisa mana hata nsipochukua yeye kashanipatia ideologicaly umh this life?
 
sasa mkeo amekuwa wanawake wote mkuuu

nashangaa.........wengine tunapiga simu inakatwa kwanza......tunapigiwa baadae.....na hatuambiwi sababu na hatuulizi.........
 
nashangaa.........wengine tunapiga simu inakatwa kwanza......tunapigiwa baadae.....na hatuambiwi sababu na hatuulizi.........
au anapokea mwanamke anasema piga badae yupo bafuni...na maisha yanaendelea..huulizi hununi
 
au anapokea mwanamke anasema piga badae yupo bafuni...na maisha yanaendelea..huulizi hununi

sawa kabisa.........au unauliza upo na nani.....upo wapi.......unasikia simu....titititititiiiii.......na hujali.......
 
Itakuwa historia yako sio nzuri ndio maana anakufuatilia kwa kina, si upeleke mashitaka kwa baba paroko
 
Tunajibu tu 'sorry for disturbing babe'
Kajiokotea ngumbaru wake anadhani ndoa inalindwa na ku-doo
cc Da Sophy
nashangaa.........wengine tunapiga simu inakatwa kwanza......tunapigiwa baadae.....na hatuambiwi sababu na hatuulizi.........
 
Last edited by a moderator:
duh maongezi ya nyie feminist kwenye huu uzi yamenipa burudani aiseh.......ukute nyie ndo mnaanzisha timbwili mtaa mzima mkisikia hivyo
 
Kwa usema kweli my wife amesafiri, tokea aondoke kila mda akipiga simu mara oh uko na mwanamke?mara aseme nisogelee tv kama ni usiku,akipiga simu labda imeishiwa moto hapo ugomvi sasa leo kapiga kupokea nikamjibu sivyo akasema uko na dem? Nkasema yes
Possibility ni kwamba huko aliko anafanya yale anayahisi wewe hapo unafanya..!!!
 
Kwa usema kweli my
wife amesafiri, tokea aondoke kila mda akipiga simu mara oh uko na
mwanamke?mara aseme nisogelee tv kama ni usiku,akipiga simu labda
imeishiwa moto hapo ugomvi sasa leo kapiga kupokea nikamjibu sivyo
akasema uko na dem? Nkasema yes

Kwa Mkeo unatakiwa kuwa mvumilivu wakati mwingine na hata kujifanya mjinga labda kama kuna swala la ziada ukiachana na wivu alionao ili roho yake iache kupaa kwa kuwory. Lakini kama ni Kimada anataka kukubana na kukucontrol ndio wa kujibiwa ovyo.
 
Huo ni wivu tu wa mapenzi alionao, mvumilie tu mwenzio.. Japokuwa ina kera sana.
 
Inaonesha wewe sio muaminifu hata kdg ndo maana yanakuwa hivyo
 
LoL! Msamehe tu 🙂

Last edited by a moderator:
Usikute yeye huku ndio analiwa anakudanganya kwa wivu mwingi ili uone katulia chezea mademu weiwe stukaa....
 
Lazima kuna jambo au mambo uyafanyayo yaliyojenga moyo wa wasiwasi kwa mkeo...
Pengine pia namna ulivyompata aling'olewa mtu ili yeye aingie kwenye hiyo nafasi ya moyo wako...
 
Kwa usema kweli my wife amesafiri, tokea aondoke kila mda akipiga simu mara oh uko na mwanamke?mara aseme nisogelee tv kama ni usiku,akipiga simu labda imeishiwa moto hapo ugomvi sasa leo kapiga kupokea nikamjibu sivyo akasema uko na dem? Nkasema yes

Limtokalo mtu ndilo lililoujaa moyo wake.
Wewe na mkeo wote ni wazinzi maana zinaa ndio imeijaa mioyo yenu
 
Back
Top Bottom