Tunajibu tu 'sorry for disturbing babe'
Kajiokotea ngumbaru wake anadhani ndoa inalindwa na ku-doo
cc Da Sophy
Asanteni kwa kunipenda mwaya, siishi kutajwa humu, yote heri. Niko katika swaum kwa hiyo sisemi sana. Lakini mjue tu we ukimwona ngumbaru mwenzio ndio kafika hapo. Ndivyo Mola alivyotutafautisha waja wake, chungu kwako tamu kwa mwenzio.