Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,274
Yaani akuweke wazi wewe kama nani labda!!!Kama mshikaji ni kimeo basi ilitakiwa mwanamke aniweke wazi....mwanaume anayehudumia kwa uchungu hajui hayo na wala hajui kama unajua au hujui akikuta naye na amekufumania utapata balaa...still nawalaumu wanawake kwa hili
Kawaida yenu kulaumu wanawake kwa matatizo yenu so hamna jipya.


