Haujasikiliza upande wa Monica lkn, huenda nae analo la kusimulia
Daaaaaahhhhhhh Mzeee hii ni bonge la lecture! Thank you in an advance BroHuu uzi lazma nicomment.....
Ingawa unaweza ingiliana na zingine ila ni kweli tupu.....
Nilitendwa na mwanamke wangu nilompenda sana tukaachana.....
Baada ya muda nikaja kupata mwanamke mwingine ambaye nilimpenda na yeye nahisi pia alinipenda maana alikuwa free sana na mimi, hakuwa na wasiwasi na kunitambulisha hata kwa ndugu zake wa karibu kama mama yake mzazi, mdogo wake, baadhi ya mashemeji e.t.c....niliona nimepata, hapo tuna kama miezi mitatu tu....cha ajabu huyu dada alikuwa na akili sana, alikuwa na simu mbili, moja utaiona free muda wote juu ya meza, kitandani au popote pale anaiweka, anaweza hata kukupa upige cm ukimuuliza kama ana salio na wewe umeishiwa ghafla, hyo nyingine hutakaa uione imetolewa kwenye pochi, haiitagi wala hata haivibrate!!!!
Cha ajabu huyu dada alikuwa na pesa za ajabu na hana kazi maalumu, ila ana pesa za ajabu ajabu tu.....yaani pesa ipo mpaka kuna kipindi nikawa nahisi labda ni Government Agent au Secret Service coz sijawahi mdaka na mawasiliano na wanaume au vipi ila unaona tu ana ela saana na ile simu yake nyingine ndo ikawa inanipa mashaka.....akipata tatizo anapiga simu moja tatizo limeisha....ukidakwa na askari anapiga simu mnaachiwa...sikuwa namuelewa kabisa......
Kumbe nyuma yake kuna kijana mmoja mwenye uwezo sana anaye kwa muda mrefu sana...na huyo kijana ana malengo ya kumuoa...ila mwanamke anamtumia tu.....siku nimekuja gundua nilimkimbia kama ukoma.....
Nasikiaga yule kijana mwenzangu alikuja kumnyang'anya kila kitu mbeleni yule dada.....
Lesson nilopata: wanaume wenzangu msije mkajidanganya kuhusu pesa, kwamba ukiwa na pesa ndo kila kitu....tafuta atayeendana na wewe, mengine unaweza tambua tu....
Ni hayo tu wakuu
Huu uzi lazma nicomment.....

Vya dezo ndo tatizo,wanawake mnapenda ganda la ndizi alafu hamjuwi kutulia.Haiwezekani mwanaume ajitoe kukuhudumia kila kitu alafu umuache tu kirahisiHuyo jamaa yako nae sio, kwahiyo akimnunulia mpenzi wake vitu, siku wakiachana anavibeba!! Hizo ni zilipendwa. Ye akubali tu kuwa penzi limefika tamati na amove on, maana sio mahusiano yote huishia ndoa.
Huyo mjeda hajielewi!mapenzi gani ya kijinga!
Nashukuru kwa kushare na sisi ila hawa viumbe waajabu sana yani anahudumia kila kitu alafu anauza mechi kirahisi tu.Wajin#a sanaDaaaaaahhhhhhh Mzeee hii ni bonge la lecture! Thank you in an advance Bro
Hata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?Vya dezo ndo tatizo,wanawake mnapenda ganda la ndizi alafu hamjuwi kutulia.Haiwezekani mwanaume ajitoe kukuhudumia kila kitu alafu umuache tu kirahisi
Hajaowa lakini walikuwa na mipango hiyoSwali, je amemuoa?
Sihukumu,lakini kwa picha ya nje tu huyu dada ni kimeo.Hivi unaleta vipi mwanaume home wakati una jamaa yako na anakuhudumia everything. Badilikeni wadada mnafanya hii tasnia ya mapenzi kuwa ngumuHata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?
Unafurahisha sana.Hata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?
Tatizo huyo jamaa mwingine anaweza mharibu mwanaume mwenzake hata kumfumua tigo wakati jamaa hana kosa.....kwamba ukute hajui hata....ila akifumaniwa naye anaweza haribiwa hata kitundu cha manyoya ya kiumeSihukumu,lakini kwa picha ya nje tu huyu dada ni kimeo.Hivi unaleta vipi mwanaume home wakati una jamaa yako na anakuhudumia everything. Badilikeni wadada mnafanya hii tasnia ya mapenzi kuwa ngumu
Niliwakatia woteHii dunia hii, sasa mkuu mama mkwe vipi maana ulitambulishwa![]()
Niliwakatia wote
Kama mshikaji ni kimeo basi ilitakiwa mwanamke aniweke wazi....mwanaume anayehudumia kwa uchungu hajui hayo na wala hajui kama unajua au hujui akikuta naye na amekufumania utapata balaa...still nawalaumu wanawake kwa hiliHata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?
Ooooooooh!!!! Kumbe yakiwakuta ndii mnaona hii tasnia ni ngumu!!!Sihukumu,lakini kwa picha ya nje tu huyu dada ni kimeo.Hivi unaleta vipi mwanaume home wakati una jamaa yako na anakuhudumia everything. Badilikeni wadada mnafanya hii tasnia ya mapenzi kuwa ngumu