Vitu vya msingi kwa hadhira iliyo kusudiwa huwa hadhira hiyo inajaribu ku Skipp, ila mleta mada alielezea kitu chenye maana na kilicho beba ujumbe mkuubwa sana kwa hawa nduguzetu jinsia ya pili,,,, ilatu mi naona watu wanarukaruka kamavile hawaelewi kinacho endelea ndani ya jamii.
Anyway