kosa ni kumkaribisha ndani so akaona na id yangu ya kazin coz niko mwenyewe bachelor naiekaga tu ovyo ovyo so siku anayokuja sikuwaza kuitafuta niifiche
ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumu
Kale kauarab kalimchanganya jamaaa..... .
Angemuita geto ampe hata nusu,afu apige tena gemu ya mwishomwisho....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]