Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

khaaaaaaaaaaaaaaaaa mmmh wanaume na nyie hv mkoje
 
Papuchi hatukupeana ofisini, why aje ofisini!
ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumu
 
ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumu
Shida ndogo ndogo! 400,000/single show unaita shida ndogo ndogo! Bora nibaki na nyege zangu! Huyu nikimla mara 3 Si atataka Block 1 la UDSM Hostel?
 
Ahahaha!!!
 
Huyo sio Mwa J kweli? Huo mkoa ni Lindi?
 
Hata mm sikupiga papuchi nawasiliana nae tu. Ananipiga zinga daily ya money
 
Unaonesha ni mtu mdhaifu kwa papuchi ndan ya muda mfupi kajua had ofis unayofanya kazi.
 
Mwa J ni hataree sana, wenyeji wote walindi wanamfahamu.... Ni kimeo.
So huwa anatege wageni pale beach
Ila nasikia baba yake ni mshirikina sana na ana majini na atamsumbua huyu jamaa mpaka hiyo hela ataitoa.

Tatizo yeye amekurupuka kuchukua tu mwanamke bila kuuliza vizuri...naona kapenda zile nywele ndefu.

Hajajiuliza mwanamke anakaa mwenyewe beach kila siku kuanzia saa 2 hadi usiku kbs na hanaga kampani.
 
Kale kauarab kalimchanganya jamaaa..... .
Angemuita geto ampe hata nusu,afu apige tena gemu ya mwishomwisho....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kutoa ni moyo tena ulio wa ukunjufu na wala si utajiri.

Hebu msaidie kidogo angalau umpe 1 milioni upunguze matatizo yake mbona yeye amepunguza nye**ge zako.
 
Hahaahaaaa ,,,msomee alibadri huyo ,,Maana hajui Kula na kipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…