kelvin.pcb
Senior Member
- Jan 2, 2013
- 175
- 21
Tabia ya wanawake kuonesha dharau kwa wanaume zao, tena moja kwa moja bila wasiwasi, inaumiza sana wanaume wenye mapenzi ya dhati, kama hamuwataki ni bora muwaambie kuliko kuwekana presha juuu!!, Amani kwa couples wote wanaoeshimiana.