Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
jamani kuna wimbi la mageuzi limevamia jiji la dar
unakuta asilimia nyingi ya wanawake awavai kabisa vyu### vyao
na hivyo kuishia kuacha bambaataa ikicheza ndombolo bila nyimbo
kupigwa,...kama wewe ni mmoja wapo embu anza kuvaa ukishindwa
chukua ata lile boxer la mumeo/hawara yako uvae kwa ndani....kwa wengine
imewaathiri sana na hili ni tatizo kwenu wakati mnapodondoka mnapata shida sana
tofauti ukiwa umevaa .....weka mazingira ya upendo na amani kwa wapita njia wenzako usiwakwaze wapate mawazo na kushindwa kupata jibu.......kama una rafiki mkeo/ gfriend avai aanza tabia ya kumvalisha hata kama ni boxer zako