wanawake msiovaa vyu$%%% vyenu mnatutafuta ubaaya jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
jamani kuna wimbi la mageuzi limevamia jiji la dar
unakuta asilimia nyingi ya wanawake awavai kabisa vyu### vyao
na hivyo kuishia kuacha bambaataa ikicheza ndombolo bila nyimbo
kupigwa,...kama wewe ni mmoja wapo embu anza kuvaa ukishindwa
chukua ata lile boxer la mumeo/hawara yako uvae kwa ndani....kwa wengine
imewaathiri sana na hili ni tatizo kwenu wakati mnapodondoka mnapata shida sana
tofauti ukiwa umevaa .....weka mazingira ya upendo na amani kwa wapita njia wenzako usiwakwaze wapate mawazo na kushindwa kupata jibu.......kama una rafiki mkeo/ gfriend avai aanza tabia ya kumvalisha hata kama ni boxer zako
 
Si mchezo kumbe kuna watu hawavai kufuli?? labda sababu ya joto la jiji letu hehe hhe ila nawe usiwe unawaangalia watu nyuma jamni !:confused:
 
si mchezo kumbe kuna watu hawavai kufuli?? Labda sababu ya joto la jiji letu hehe hhe ila nawe usiwe unawaangalia watu nyuma jamni !:confused:

najitahidi mari ila sion pa kutokea,...ole wako upande basi mmebanana yaani"" kova"" anakuita hivi hivi
unakuta dadangu wakitembea vitu vinajiachia baya ni pale nguo inaponasa kwenye mstari wa ikweta.kumwambia nashindwa basi tu nikaona hapa tunaweza punguza hili wimbi la ujasusi
 
mimi nawaunga mkono wasivae...
1.kwanza joto laweza sababisha vipele
sehemu nyeti,
2.pili si utamaduni wa waafrika.
3.mitikisiko ya pwani nayo ina
changamsha jiji,ina raha yake.
4.kila mwanamke ana assets zake
za kuringishia,wengine sura,wengine nywele,
na wengine ndo hivyo tena mitikisiko ya pwani.
5,wanaonesha kwa nini Daresalaam inaitwa jiji na sio kijiji.
6.wanawake ni burudani,so wanathibitisha hilo.
 
kwa hapo nakupa

"""shalom""
 
then ule usemi kwenye maandiko
amwangaliaye mwanamke amezini inakuwaje,...nahhisi kila mtu adi watoto
watakuwa wanazini maana wengine wa miaka 8/9 ndio wa kwanza kukushtua baba angalia
kule kule nini,..kuleeeeeeeee eeeeee sasa na haka kanazini ama??msaada jamani
 
Hivi we umejuaje? au wewe ndo wakwako havai? Maana kuna watu mungu amewaumba wanavaa lakini maungo yanajibu wanapotembea.... kama ulikuwa hujui basi ujuwe hilo!
 
Sio wanakutafuta ubaya ni kwamba wewe ni mgonjwa a.k.a mbakaji, jitahidi kutuliza hisia zako au nenda kamuone doctor, kwa tamaa zako ukifika umri ya utu uzima maika 60 (kama utafika , mana teari unatabia mbaya inaoneysha) utaweza baka wajukuu ,sababu ya kujishughulisha na mawazo ya ngono , chukua tiba mapema.
 
Na wanaume tusiovaa je?au ndio mambo yetu yale ya MFUMO DUME, kila kitu mwanamke mwanamke tunakua kama baba yetu Adam kala tunda kuulizwa MWANAMKE ULIYENIPA, hebu tuache uzandiki kufuli si lazima kwa both genders ni kama Kachumbari na Pilau, primary ni Pilau and secondary kachumbari atiii
 
jamani kuna wimbi la mageuzi limevamia jiji la dar
unakuta asilimia nyingi ya wanawake awavai kabisa vyu### vyao
na hivyo kuishia kuacha bambaataa ikicheza ndombolo bila nyimbo
kupigwa,...kama wewe ni mmoja wapo embu anza kuvaa ukishindwa
chukua ata lile boxer la mumeo/hawara yako uvae kwa ndani....kwa wengine
imewaathiri sana na hili ni tatizo kwenu wakati mnapodondoka mnapata shida sana
tofauti ukiwa umevaa .....weka mazingira ya upendo na amani kwa wapita njia wenzako usiwakwaze wapate mawazo na kushindwa kupata jibu.......kama una rafiki mkeo/ gfriend avai aanza tabia ya kumvalisha hata kama ni boxer zako
Wanapunga upepo. Hao tena ni waswahili wa pwani. Waliolelewa mikoani hawafanyi hivyo. Ukiona hivyo ujue anatafuta mkunaji kwa nguvu kulazimisha mambo kwa kuchomekea yeyote atakayemuona. Huyo ni mbakaji wa kike anayekulazimisha upate hamu hata kama unakimbilia ofisini saa hizo. Hao wanakuonyesha ramani. Angalia matangazo ya biashara ya Scandinavian countries, very often yanaelekeana na sex na gender kwa sababu wanaamini yartawavutia wengi kuangalia na hivyo kufikisha ujumbe wao ili bidhaa zao ziuzike zaidi. Hata hawa wasiofunika vitu vyao wanatangaza biashara kwamba hawavumi lakini nao wamo. Kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza.
 
wanawake mnaita wabakaji
hao wanaume mnawaitaje wasio vaa
kila saa mikurunge imesimama mbele ya zipu zao utasema
mi nanii ya TANESCO na KAKOBE
 
ni kweli wengi hawavai,ni kijitabia kimezuka siku hizi

wao wanaona raha ile mbaya
 
HApana wajameni wanavyaa VYUPI sema hizi BIKINI zao zinafunika ikulu alafu kule banada la UANI inasetiriwa na KIKAMBA tu kwa hiyo lazi utaona hajavaa chupi. ebu jaribu kumvua mmoja wapo utaona mambo
 
HApana wajameni wanavyaa VYUPI sema hizi BIKINI zao zinafunika ikulu alafu kule banada la UANI inasetiriwa na KIKAMBA tu kwa hiyo lazi utaona hajavaa chupi. ebu jaribu kumvua mmoja wapo utaona mambo

Kaaz kwel kwel!!! upo deep katika utafiti kijana. ila ume generalise kidogo. Hapo yapo makundi mawili, wa G-string na wasiovaaa. umenipata?
 
Wewe ndio uko DEEP zaidi mimi utafiti wangu umeishia kwenye hizo G-string na pia utafiti unaonyesha wasiovaa chupi ni wacheza show, sasa kama kweli kuna wasiovaa kabisa na wakatembea barabarani na kupanda daladala mmmmh makubwa haya
 
Hii safi sana wacha wasivae kabisa...........karibu tutaanza kukamatana kama kuku na jogoo
 
mimi nawaunga mkono wasivae...
1.kwanza joto laweza sababisha vipele
sehemu nyeti,
2.pili si utamaduni wa waafrika.
3.mitikisiko ya pwani nayo ina
changamsha jiji,ina raha yake.
4.kila mwanamke ana assets zake
za kuringishia,wengine sura,wengine nywele,
na wengine ndo hivyo tena mitikisiko ya pwani.
5,wanaonesha kwa nini Daresalaam inaitwa jiji na sio kijiji.
6.wanawake ni burudani,so wanathibitisha hilo.

Nakubaliana na wewe 1999%
 
mi naishi kimanzichana - kilimo kwanza, lakini kila baada ya wiki 2 hivi lazima nije town, hasa pale posta jioni ili macho yangu yautambue uwepo wa mungu na nipate kuona maajabu.\

watu wanafikiri miujiza ni kiwete kusimama, wapiiii, cheki mungu alivyo wa ajabu anaweza kuumba binadamu wa kila namna na wanaoweza kutoa burudani ya ajabu kwa binadamu wenzao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom