Wanawake msikurupuke kutukana watu wakipiga simu

Aise, ila una moyo mzuri tu,
Changu kingekuwa ni hela, simu ningeirudisha maeneo yale yale niliyoikuta.
 
Huyu mwanamke kazidi yani anaongea kama cherahani yanayo khusu na na yasio khusu,kwanza huyo jamaa yako kama hujui anatumia dawa za kikongo usione anajua kusugua bure ni dawa hizo na mimi ndio nilompa leo anajitia ki***m yani gazeti.
 
Unajua huyu jamaa alipokuja kuchukua mfuko wake nilimwambia plz hesabu kahesabu nikamwambia ziko sawa
kasema ndio nikamwambia haya kwaheri,nimemuache hapo kaduwaa nimeondoka.
kama wasemavyo "tenda kheri ulipwe Shari" Pole kwa hayo madogo...ila naona hawakufanya shopping siku hiyo !!?!! Nimefurahi kwa kula halali yako, Wema wako utaukuta huko mbele....!!

Mamndenyi mali ya hivo haidumu hata siku moja!! Dunia bado ina watu wema jamanii... na baraka zipo nyingi..!!
 
Last edited by a moderator:
yani hata sikuyauliza yani nimepokea simu kwa bashasha matokeo yake unaambulia matusi sema hakua na jipya hata moja yote ndio yale yale ya zamani anaya rejea rejea tuu...
 
yani hata sikuyauliza yani nimepokea simu kwa bashasha matokeo yake unaambulia matusi sema hakua na jipya hata moja yote ndio yale yale ya zamani anaya rejea rejea tuu...
" Makamu yako kwa Moula imepanda daraja " wewe kumkaaliya kimya ndo umemaliza !!
 
Mara zote sie wanawake tuna roho mbaya,
Unatukana mtu hata usiyemjua;

Lakini ulifanya tu kosa moja,
Ungefungulia kule kule ulikookota, uchukue chako vyake mwachie huko huko;

Dunia hakuna wema kabisa.

Unajua huyu jamaa alipokuja kuchukua mfuko wake nilimwambia plz hesabu kahesabu nikamwambia ziko sawa
kasema ndio nikamwambia haya kwaheri,nimemuache hapo kaduwaa nimeondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…