Kinyengeli
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 452
- 143
- Thread starter
- #21
Asante!!Blue G
Kuwa providers haimaanishi kwamba mwanaume basi akae tu nyumbani kumbuka pesa zenu nyie wengi wenu huwa ni zenu tu mkitoa hamuwezi kuvumilia kutoa wakati wote na masimamngo huwa hayakosi kwenu na kujiona kama hujaolewa. Rejea mabandiko yenu mengi humu mnasema mwanaume atoe huduma, na pesa ya kuhongwa ni tamu. Hv wewe unaweza kuprovide kila siku kwa familia na ukaona sawa tu kama mumeo yupo???
walikolalia wenzao ndio tumeamkia
usinambie ngoma droo?sasa inakuwaje pale mdada anapotumika then anadampiwa?mbona huwa anakuwa na hasira?kama wote ni nidanganye danganye?
kwani wewe unakuwa hutumiki? halafu hata wanaume wanakasirika na kuumia wanapoachwa so hilo ni la pande zote mbili.
husna unataka tuanzishe ligi?si unajua haina mwamuzi hii?
tunawajua mnaposema uongo sema vile na sie tunawadanganya tunaona sawa tu.
hawalielewi hilo hata kidogo.
husna unataka tuanzishe ligi?si unajua haina mwamuzi hii?
Mwamuzi tafadhari amua kabla ligi haijaanza maana isije ikawa kama wiki zilizopita huku kulikuwa hakufaianzisheni anzisheni..........mwamuzi niko hapa
anzisheni anzisheni..........mwamuzi niko hapa
Mwamuzi tafadhari amua kabla ligi haijaanza maana isije ikawa kama wiki zilizopita huku kulikuwa hakufai
dah,nilihisi tu kitu kama hiki,unapendaje kuchonganisha?n'way,hauta kuwa na upendeleo?
niko very Objective hakuna upendeleo
tunawajua mnaposema uongo sema vile na sie tunawadanganya tunaona sawa tu.
hata kama uko busy ni vyema kutenga muda na familia
wengune busy 24/7 eti anatafuta pesa......na kuongeza kipato
kila kitu kipewe nafasi yake..........
huwa tunawatizama......kimoyoni unasema UNGEJUAA
hata kama uko busy ni vyema kutenga muda na familia
wengune busy 24/7 eti anatafuta pesa......na kuongeza kipato
kila kitu kipewe nafasi yake..........