ytara jr.
Member
- Feb 6, 2014
- 61
- 22
Kuna binti nilimuomba awe Girlfriend wangu akakataa, alidai hataki mahusiano ya kawaida labda kama ni uchumba.
Nilimjibu siko tayari.
Niliamua kumpotezea, tunaonana mtaani, wakati mwingine tangu hapo ni miaka miwili sasa.
Cha ajabu wakati mwingne hunipigia simu na kuniomba hela, nishamtumiaga mara moja kiasi kidogo, ila juzi tena kaniomba hela, so simuelewi huyu binti ana nia gani?
Msaada mabinti.