sasa ambacho huelewi ni nini
jinsi ya kutumia mpesa au kuna tatizo
au network kama hivyo nenda jukwaa la tech
anakuchuna buziiiiiii
Kuna binti
nilimuomba awe Girlfriend wangu akakataa, alidai hataki mahusiano ya
kawaida labda kama ni uchumba.
Nilimjibu siko tayari.
Niliamua kumpotezea, tunaonana mtaani, wakati mwingine tangu hapo ni
miaka miwili sasa.
Cha ajabu wakati mwingne hunipigia simu na kuniomba hela, nishamtumiaga
mara moja kiasi kidogo, ila juzi tena kaniomba hela, so simuelewi huyu
binti ana nia gani?
Msaada mabinti.
si amuingizie kwa account kama net ya mpesa tatizo..