Wanawake mnavutiwa na nini?

Mwanaume anayejua kuoga, sio mwanaume anavua ch&pi inaanza kukunukia, kikwapa hakina hata harufu ya deodorant. Hata niwe nimetoka jela, nitalala na njaa yangu
Kwani nyie mnapokuwa bikra ndio mnavyokuwa hivyo na vichupi.
 

Misijaona utam wa mwanamke bikra, zaidi ya usumbufu na kutokwa kijasho wakati wa kumkata utepe. Sana wanaume wengi hupendele bikra kwakua ni kitu cha nadra pia kupata sufa ya kua wakwanza kama kwenye mtihani darasani
 
Nani anapenda mwanamke bikra????? Isshh
 
Wacheni hizo ,mnaukwepa ukweli usiku gizani ,bikira kitu chengine ,yaani nyie wadada mnavyoponda hamuoni kama mnakufulu ?

Inakuwa kama mnalipiza kisasi ,au hamnazo mmeshakuwa deflowered sasa mmepwerewa ,yaani kama humu JF yumo bikira basi anawaona mnavyoteseka ,nijuavyo bikira ni zawadi ya bwana halusi ,unajua dini zote zinadai kama umeenda kuwowah na ukakuta kijaluba kishafunguliwa ,itakubidi udai mahari yako yote ,na mnaosema siku hizi hakuna bikira inaonyesha hamna ujuzi wa kuwatafuta na ni dharau kubwa kwa wadada ,mabikira wapo tena wamejaa tele tatizo mnavamia vyoo vilivyojaa.
 
Usiniambie kuwa used car ni nzuri kuliko New car ! ,Hivi niwaulize Wadada ,kwanini mnaenda kushona ili muonekane bado ni bikira ,sijui hapa Tz kama wanaendesha operation hiyo ila India ni maarufu kwa kurudisha utepe na kukarabati 1
 
Kuwa mcha Mungu hata kama sio sana, atleast awe na hofu ya Mungu.

Sipendi mwanaume mwenye majivuno maana humo ndimo hutoka manyanyaso, mkono wa kupiga, dharau etc
 
Kuwa mcha Mungu hata kama sio sana, atleast awe na hofu ya Mungu.

Sipendi mwanaume mwenye majivuno maana humo ndimo hutoka manyanyaso, mkono wa kupiga, dharau etc

sasa dada unaogopa kupigwa ? mbona sisi huku wakurya hiyo ni kawaida. Nakushauri anza mazoezi
 
Hahahaaaa kwaio unapingana na mleta uzi hapa

siwezi jidanganya kuitaka hiyo kitu wangu..mambo gani nikitaka kupiga lazima tupoteze masaa au siku kabisa? na wakati mwingine gemu inaahirishwa eti kisa anaogopa
 
siwezi jidanganya kuitaka hiyo kitu wangu..mambo gani nikitaka kupiga lazima tupoteze masaa au siku kabisa? na wakati mwingine gemu inaahirishwa eti kisa anaogopa

Ni shidaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…