Simu ni kwaajili ya mawasiliano tu,nyie ndio wanaume ambao mkiombwa msaada mnadhani mnatakwa kimapenzi.dah nisiwachoshe members
kwenye shughuli zangu nilikutana na binti mkali sana hii ilikua kabla ya ramadhan ingawa yy sio muislam basi mtt wa kiume nikajitutumua nikaomba namba dem akatoa tena dem alinipa kwa bashasha zote mpaka akaomba sim yangu aandike mwenyewe ili nisikosee nikajua hii project itakua easy sana kama kumsukuma mlevi
tatzo mtt akawa hatoi ushirikiano ukituma txt haijibiw ukipiga mpaka apookee ujue ushapiga zaidi ya mara tatu nikaona isiwe tabu nikafutilia mbali namba yake nikaendelea na maisha
baada ya sikukuu nikakutana nae tena akanilalamikia mbona nilimpotezea full kujichangamsha nikamwambia namba yako nilipoteza hapo hapo akarukia ngoja nikupe kama kawaida akaomba sim aandike mwenyewe nikasema ngoja nijarbu zali tena. safari hii akatoa ushirikiano tukapanga meeting nikamtupia mrembo akachomoa dooh kila nikikaza anachomoa kama wiki hv nikafutilia mbali namba
cha ajabu leo nimekutana nae tena analalamika nimempotezea nikamjibu kaz nying safar hii akaniomb tena namba alipoteza sim kweli anatumia sim nyingne tofauti nilizoea kumuona nayo nimempa nimesepa sina mawazo ya kumtafuta tena
sasa swali langu kwenu wadada mtu humtak unamuomba namba ili iweje??
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mmmh!Mkipewa number mnafikiria kula kitumbua, wengine tunatoa number kupata friends wa kubadilishana mawazo.
hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamkeMkipewa number mnafikiria kula kitumbua, wengine tunatoa number kupata friends wa kubadilishana mawazo.
ndo maana ukipigwa chin kwenye interview hawakusumbui tena na hbr za hio kazKwani wanaoitwa kwa interview wote hupata kazi?
wewe una qualify kwa interview but ukipewa interview unafeli..
wenzio hata interview hawapewi ndo maana namba hawapati..
hakikisha haufeli tena
ndo maana ukipigwa chin kwenye interview hawakusumbui tena na hbr za hio kaz
sasa mtu ushanipiga chini tunaombana namba za nn?? manake anajua mm nikikaa nae ntakua namtamani tu
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Afadhali yako. Mimi napigwagwa Okay, good, you too, gnight. [emoji23] [emoji23] [emoji23] .dah nisiwachoshe members
kwenye shughuli zangu nilikutana na binti mkali sana hii ilikua kabla ya ramadhan ingawa yy sio muislam basi mtt wa kiume nikajitutumua nikaomba namba dem akatoa tena dem alinipa kwa bashasha zote mpaka akaomba sim yangu aandike mwenyewe ili nisikosee nikajua hii project itakua easy sana kama kumsukuma mlevi
tatzo mtt akawa hatoi ushirikiano ukituma txt haijibiw ukipiga mpaka apookee ujue ushapiga zaidi ya mara tatu nikaona isiwe tabu nikafutilia mbali namba yake nikaendelea na maisha
baada ya sikukuu nikakutana nae tena akanilalamikia mbona nilimpotezea full kujichangamsha nikamwambia namba yako nilipoteza hapo hapo akarukia ngoja nikupe kama kawaida akaomba sim aandike mwenyewe nikasema ngoja nijarbu zali tena. safari hii akatoa ushirikiano tukapanga meeting nikamtupia mrembo akachomoa dooh kila nikikaza anachomoa kama wiki hv nikafutilia mbali namba
cha ajabu leo nimekutana nae tena analalamika nimempotezea nikamjibu kaz nying safar hii akaniomb tena namba alipoteza sim kweli anatumia sim nyingne tofauti nilizoea kumuona nayo nimempa nimesepa sina mawazo ya kumtafuta tena
sasa swali langu kwenu wadada mtu humtak unamuomba namba ili iweje??
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
word.............Mkipewa number mnafikiria kula kitumbua, wengine tunatoa number kupata friends wa kubadilishana mawazo.