Anaitaje majirani kusikiliza matatizo ya kwake? watu wanashangaza sana.
Hakuna mwanamke anayeridhishwa na mwanamme mmoja.
Kama unataka kufa mapema,muamini mwanamke.Mkuu hili hitimisho lako linanikatisha tamaa kabisa ya kuendelea kuuamini mchepuko wangu.
Ok, aombe talaka aende kwenye attension anayoitaka...Kwani huyo mdada aliolewa na hayo magari anayobadilisha kila siku?, kitu ambacho mwanamke anakihitaji zaidi kwa bwana yake ni *ATTENTION* hakuna kingine
Njoo nikukune vzr na nna uzoefu hiyo sanaaNahitaji attention yako
Nahitaji huduma yako
Nahitaji unikune vizuri
Sawa, kama huvipati hivyo toka kwa mumeo, omba talaka uondoke na uende utakavyovipata.... other wise wengine watakuja kuwauwa...Nahitaji attention yako
Nahitaji huduma yako
Nahitaji unikune vizuri
Ukiwa na pesa mingi halafu unamkuna mwanamke ile ile yani vizuri hakika ni ngumu kutoka nje ya ndoa au kukusaliti mkuu kigodoro.Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.
Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.
Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.
Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.
Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.
Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.
Sasa ukinikuna vizuri tu haitoshiNjoo nikukune vzr na nna uzoefu hiyo sanaa
CC: housegirl80% ya wanawake ni malaya na wabinafsi pia wanaroho mbaya sana ndio maana hata wao hawapendani
[emoji12] [emoji39] ngoja nlutafute hayo yote utayapata na ya ziada. Shart moja tuu uweze kujizuia kuchanganikiwa.Sasa ukinikuna vizuri tu haitoshi
Sema hakyamungu[emoji12] [emoji39] ngoja nlutafute hayo yote utayapata na ya ziada. Shart moja tuu uweze kujizuia kuchanganikiwa.
Na huduma zitafuata, shamba lazima litiwe mboolea ili mimea ustawiSasa ukinikuna vizuri tu haitoshi
je wewe ni mkamilifu 100% huna dhambi yoyote? je wajua nguvu ya msamaha? amsamehe naye apunguze safari ama akisafiri aende naye!Ndio upuuzi wa baadhi ya wanawake. Huyo aachwe tu akafie mbele ya safari
Eeh kweli udongo ukiwa na rutba mimea itastawi[emoji108]Na huduma zitafuata, shamba lazima litiwe mboolea ili mimea ustawi
Ok twenzetu pm tuyajenge maana wanoko wametega masikioEeh kweli udongo ukiwa na rutba mimea itastawi[emoji108]
Sasa huko ndio sipajuiOk twenzetu pm tuyajenge maana wanoko wametega masikio