Mmh haya bwana, na sie kama kawa tukiwafumania ni talaka tu ndo tunajuagaHahaha sisi tunataka everything, mtajua kama mnaweza kuwa na everything au vipi teh
Hahaha mkuki kwa nguruwe teh. Tusameheni tu, no one is perfectMmh haya bwana, na sie kama kawa tukiwafumania ni talaka tu ndo tunajuaga
MmmmmhNakubaliana kabisa na huyo mwalimu wake.
Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.
Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.
Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.
Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.
Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.
Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.
Teh ngumu kumesa eeh. Samehe 7×70Mmmmmh
Kwani huyo mdada aliolewa na hayo magari anayobadilisha kila siku?, kitu ambacho mwanamke anakihitaji zaidi kwa bwana yake ni *ATTENTION* hakuna kingine
Word of the day. Fedha siyo upendo, lakini kuna scenarios nyingi tofauti tofauti kulingana na situation!!!Fedha sio upendo.
Hayo mambo ya ndoa magumu.
Labda huyo mume mtarimbo wake haufanyi kazi
Mdada wa watu afanye nini tu? Au labda hampendi tena.
Anyway nisiingilie. Wanajua makosa Yao wenyewe.
Sasa jamaa kutwa kuchwa yuko kwenye masafa kikazi, akirejea nyumbani yuko hoi kwa michoko ya masafa, kama mke hamuogopi Mungu shetani lazima ampitie ampeleke kwa mkojozaji.Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.
Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.
Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.
Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.
Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.
Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.
Hii ni post ya siku, imekomaaKwani huyo mdada aliolewa na hayo magari anayobadilisha kila siku?, kitu ambacho mwanamke anakihitaji zaidi kwa bwana yake ni *ATTENTION* hakuna kingine
Mfano ?Word of the day. Fedha siyo upendo, lakini kuna scenarios nyingi tofauti tofauti kulingana na situation!!!
kama mshikaji hajui kupiga shoo dada wa watu afanyaje au unadhani hayo magari au pesa za mumewe ndiyo zitamkojoza???
Namimi na kusalimia kwanza. Hiyo case achana nayo.. Tusalimiane kwanzaMfano ?
Nikusalimu kwanza .
ha ha ha hela.mnataka na kukojozwa mnataka.pia.. na attention mnataka.pia... hao wanaume muwaumbe wenyewe..
kwa maoni yangu mimi mwanamke anae deserve everything ni aliyempa mume wake zawadi ya bikira tu..
kama tumekutana.wote used hata afanyeje anipasui kichwaa.. akisepa unaweka ndani mwingine...
watasumbua wanaume wasiojitambua tu..
kwanza sex and love is overrated