Wanawake mnapenda nini kati ya hivi vitu?

Wanawake mnapenda nini kati ya hivi vitu?

Wanawake msitegemee wanaume wawape hivyo vyote. Jitegemeeni mtafute wenyewe
 
Afya ndio kila kitu ikiwa afya imeimarika basi lazima mapenzi yatakuwepo, pesa itawezekana kuitafuta na furaha pia haiwezi kukosekana.

Kwangu afya tena iliyo bora ndio kila kitu.
Nilikuwa nafikiri n nani atasema hivi? Kumbe upo dah hongera sn hapo umenena
 
Back
Top Bottom