Habari za wakati huu..
Nawasilisha hivi nyinyi wanawake mnaowatega wanaume kwa kuwapanulia mapaja yenu na kuinama inama huku nakule ili mjiache wazi kwa lengo la kumnasa mwanaume . Nawaambia hivi mshone hizo nguo zenu za ndani na mjifunze kuzifua hasa hasa katikati na kwenye mapindo nadhani mmenisikia