Mimi napenda mke wangu akivaa sketi fupi.
Magauni sitaki
hapo nimeeleza ukweli mume wangu hapendi nivae nguo ndefu hata kidogo, na hapo ndipo nilipofikiria mara mbili mpaka nikaandika hivi
wanasema mavazi ya mtu yanaelezea tabia ya mtu..sa sijui ni kweli
Mguu upo lkn
mme wako au bwana wako acha kutuzngua ww