Arash charlz
Member
- Apr 23, 2014
- 50
- 1
Hivi kwa hali ya kawaida utajisikiaje{mwanaume} kumwona dada yako yupo nusu uchi akiwa baa na shemeji yako?
Hebu na nyie wanawake hebu fungukeni huwa mnajisikiaje mnapo kuwa barabarani na umevaa nguo zinazo acha wazi matiti na mapaja na ndugu zako wakiume wanakuona?
"Kwenda na wakati ni sketi juu ya magoti? Shughuli kwenye kuketi unavyo hangaika na kiti!!!
Nusu uchi ndo kutembeaje?
Papuchi inaachwa wazi nusu au?????
Shavu moja.
hahaha nimeparia picha
Yani mimi nikivaa hivyo mr ndio anapenda sijui nifanyeje najua sio vema lkn mwenye vyake ndio anataka iwe ivyo aaha ha ha ha ha
Yani mimi nikivaa hivyo mr ndio anapenda sijui nifanyeje najua sio vema lkn mwenye vyake ndio anataka iwe ivyo aaha ha ha ha ha
nakuunga mkono kabisaa hata mi shemeji yako anapenda saaanaa
Hamna mwanaume anayempenda mkewe halafu akamruhusu avae kiajabu...
Hivi kuna mtu anayemiliki diamond halafu anaitembeza barabarani kihasarahasara tu? akiibiwa?
Vyenye thamani hulindwa.....fikiria mara mbili.