mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Aisee.Hatujawah kusikia popote
Tunapenda tu
Alafu na nyie mnavyotaka kuoa wanawake wazuri ukimuona katupia kapendeza unasema mke cndo huyu unadhani wanapendezeshwa na majani eeeh
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Si wanapendezeshwa na kazi wanazofanya!!? watapendezEshwaje na wanaume na hajaolewa!!?Hatujawah kusikia popote
Tunapenda tu
Alafu na nyie mnavyotaka kuoa wanawake wazuri ukimuona katupia kapendeza unasema mke cndo huyu unadhani wanapendezeshwa na majani eeeh
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
kwa io we mpaka upendezeshwe na mwanaume kupendeza mwenyewe huwezi?Hatujawah kusikia popote
Tunapenda tu
Alafu na nyie mnavyotaka kuoa wanawake wazuri ukimuona katupia kapendeza unasema mke cndo huyu unadhani wanapendezeshwa na majani eeeh
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hatujawah kusikia popote
Tunapenda tu
Alafu na nyie mnavyotaka kuoa wanawake wazuri ukimuona katupia kapendeza unasema mke cndo huyu unadhani wanapendezeshwa na majani eeeh
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
HahahahaaaWanapendeza kwa kuuza papai.
Hahaha very funnykwa io we mpaka upendezeshwe na mwanaume kupendeza mwenyewe huwezi?
ndo maana mnalia kila siku wanaume vibamia kumbe ni nyie mmekua Magunia sio Rambo tena
Yaani mtu akitaka blouse akatoe maku, akitaka sket akatoe maku, akitaka lotion akatoe maku, akitaka wigi akatoe maku, akitaka ndewele akatoe maku!! Mpaka huyo mtu anakuja kuolewa huko chin kutabaki kitu kweli!!!??kwa io we mpaka upendezeshwe na mwanaume kupendeza mwenyewe huwezi?
ndo maana mnalia kila siku wanaume vibamia kumbe ni nyie mmekua Magunia sio Rambo tena
Si kweli...mimi wakati nachumbia mke wangu sikujua lolote na nilitaka kumtimua alipokimbilia kwangu kabla hata sijajitambulisha kwao japo kwa barua kumbe binti alikuwa analazimishwa aozeshwe ka mdogo wake na M'bunge mmoja hivi kwa wakati ule na kwa sasa ni waziri, lakini baada ya kumdadisi vizuri akaja kunambia ukweli ikabidi niwe mpole tu maana nami sikuwa naamini katika mapenzi ya dhati kwa wakati ule.Ujue mtu akiwa na pesa una uhakika wa matunzo. Aliye na mwanaume masikini nikukutwa tu ila hapendi.
Nikumbuke nami ila sina pesa bibie.Kwani kumpenda mwanaume mwenye pesa ni tatizo? Mbona nyie mnapenda churaaa hatulalamiki!
Si kweli...mimi wakati nachumbia mke wangu sikujua lolote na nilitaka kumtimua alipokimbilia kwangu kabla hata sijajitambulisha kwao japo kwa barua kumbe binti alikuwa analazimishwa aozeshwe ka mdogo wake na M'bunge mmoja hivi kwa wakati ule na kwa sasa ni waziri, lakini baada ya kumdadisi vizuri akaja kunambia ukweli ikabidi niwe mpole tu maana nami sikuwa naamini katika mapenzi ya dhati kwa wakati ule.
Upendo wa dhati upo sana na ukimpata anayekupa upendo huo mpende hata kwa kujilazimisha faida yake utakuja iona mbele ya safari.