Hapo sasa.Huyu atakuambia
Sikujui hunijui, achana na mimi
Afu kumbe wewe ni mkewe
Afro inakuja na mengi yasiyobebeka.
mtu mzima hatishiwi nyau bana!
Mnatishwa sana.
Aongeze maelezo sio aishie kusema sio tuonge kwa nukta sijui koma.Mara tusiongee sana.Kwanini tusiongee wakati tuna ya kuongea na waliotozunguka wanapenda kutusikiliza na sisi tunapenda kuwasikilza wao?
hatuongelei watu hapa,tunaongelea bishanga abaisha,jasiri ambaye kimila anaitwa 'enkuba' meaning 'radi'!
Maongezi kusikilizana na sio kutaka usikilizwe kama mtoa mada anaetaka wengine wapunguze maneno ili ye aongeze yake.Kumbe wanapenda kukusikiliza hapo utakuwa unaongea kwa stara..
Kuna wale ambao wanaongea sana halafu hakuna hata anaye wasikiliza ..hapo sasa..
Mmmmh. . . we jifagilie tu ila habari ndio hiyo.Waoga kama swala aliyemuona simba.
si atafute bubu
si atafute bubu
unacheza wewe,hivi hujui through PM siku hizi mtu anaweza kupata mimba?shauri lako nitaku PM!!!!!!!
unacheza wewe,hivi hujui through PM siku hizi mtu anaweza kupata mimba?shauri lako nitaku PM!!!!!!!
Si haiba nzuri kwa mtoto wa kike kupayuka payuka mbele za wanaume kama kasuku. Wakwe zako wakikuona lzm wafanye tambiko, mwanamke gani mdomo haufungi kama mpiga debe, khaa!
unacheza wewe,hivi hujui through PM siku hizi mtu anaweza kupata mimba?shauri lako nitaku PM!!!!!!!
mwambie utampeleka Spain kwishney
unampa live wala si kwenye PM