Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Waambie bas wenzako waache huo ujinga maana tukiwageuzia kibao mtateketea kama kuku
 
Nimekupata
 
Huu muda unaotumia kushangaa, utumie kuwashauri baadhi ya wenzako walioreckless kujiprotect zaidi.... Chepuka kwa raha zako, lkn jilinde vyema kuliko kujiaminisha kuwa ukifumwa nothing will going to happen. Siyo uhakika, binadamu tumetofautiana


Best yangu umeamka na mzuka mbayabsana ..naamini unajua mishe zangu ..unanijua vilivyo..huo muda wa kuchepuka mie ht sina....hii mada hainihusu...ww nipe deal basi ..mahusiano yalishanishinda mieπŸ˜…
 


Nyie michepuko ndo mnafanya wanajiamini sanaπŸ’ƒπŸ’ƒ acheni hizo
 
Okay okay.... Lakini na wanaume wawe makini Pia sikuhizi wanawake hatuna huruma ni vile ukitusumbua tunakuuwa taratibu yaani watu hawajui kama umeuwawa ila ndo ushakufa hivyo


umesema kweli dear sie ndo wabaya sana tu
 
Wanaume ndio wanaoongoza kuchepuka husiseme wanawake wawe makini sema wachepukaji wote makini.
Wanawake wengi sana wanasalitiwa na waume, wapenzi na wachumba wao.
Ni swala la muda tu visa vya wanawake kuwafanyia unyama waume zao na sio kwamba visa vya namna hio havipo vipo vingi tu.
 
Ukifanya hivi hakikisha inaenda undetectable ili ubakie kulea watoto vyema... Ila as long as haupo sure better uachane na ukatili upitie njia nyingine.

Siyo vyema kushindania ukatili, mwisho wa ubaya ni aibu siku zote
Hata ikijulikana haina tatizo maana na nyie hamjali kwenda jela, watoto watalelewa na ulimwengu
 
Amen!
 
Huu muda unaotumia kushangaa, utumie kuwashauri baadhi ya wenzako walioreckless kujiprotect zaidi.... Chepuka kwa raha zako, lkn jilinde vyema kuliko kujiaminisha kuwa ukifumwa nothing will going to happen. Siyo uhakika, binadamu tumetofautiana
Maumivu yako nayaona,, hii tahadhali mkeo, dada, shangazi, mama zako umewapa huko au umeanzia huku tu?

Kwani hamna wanaume wanauawa sababu ya kufumaniwa na wake zao?
Je mwanaume ni halali achepuke ila haramu kwa mwanamke?

Je unajua adhabu wanazopewa wanaume wenzio wanaofumaniwa na wake zao??

Maswali ni mengi jibu hayo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…