miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
kweli. tangu tulipokutana Mkwawa 1997 hadi leo ntakuwa mkubwa tu mbona? si unanikumbuka lakini nilivyokuwa mdogo kipindi kile?
Teh teh teh kama mkwawa sio ww....
kweli. tangu tulipokutana Mkwawa 1997 hadi leo ntakuwa mkubwa tu mbona? si unanikumbuka lakini nilivyokuwa mdogo kipindi kile?
tupe uzoefu jinsi ulivyoacha mkuu. was it easy to stop that habit?
Aise hii hali inatokeaga tu unakuwa na hamu ya udongo yani kuna kipindi nisipokula kabla ya chochote au lecture sielewi mi na marafiki zangu yani shida nikasemwa wee eeh i.thank God nimeacha kula udongo aisee ukiona wanawake wanaula ujue wana tatizo
Hahaaa mtoa mada umezidisha....alikula kiroba kizima? Btw umenichoma haswaaa... Mimi sista alikuwa anakula sana udongo na mpaka kesho anakula sana tu kwa hiyo at the age of 7 na mimi nilikuwa nimeshaanza kula udongo kwa kuiga....nikajikuta nimezoea nikafikia hatua ya kuchimbua kuta za nyumba (nyumba za kule kwetu sio za hapa mjini). Kuna siku niliomba ushauri Jf doctor nikaambiwa nitumie sana dagaa. Thanx God sasa hivi nna miez mitatu sijagusa udongo japo kaham kanakuja lkn naweza kujikaza sio kama zamani nikisikia hamu naweza kukurupuka hata kitandani nikazama magengeni kusaka udongo
Yani we ndo umeiboost hamu yangu ngoja nkanunue wa sh.200
I envy You gal... mi nimeanza this year... kuona tu hii thread nikapata hamu... nimeenda kuuchukua jikoni roho umetulia
Mpenz ile habari yetu lini?
Ooh nimekumbuka mamii... kuanzia jumanne nitakuwa free nikumbushe plz
Mimi tena....upele umepata mkunaji
Nimepata hamu ya udongo ghafla, ngoja niufuate jikoni...uuuh
Uliacha vipi? Mi nimejikuta nnanza tu from nowhere
Aisee nilivoona inazidi kila siku nikaamua kuwa sasa naacha kula udongo nikaanza kupunguza rate ya kuula nikawa nikula kidogo kwa siku nikaongeza kula vitu ka dagaa vitunguu ingawa ilichukua mda nikazoea nikaacha ukishaamua moyoni sili inakoma kabusa mtu akiona inamshinda anaenda kuchoma sindano ya kuongezea madini itakoma
good lesson. wapenda udongo mnaona eeh?
Ha ha Tatiana yani acha tu nilimuona shoga angu anakula nikatamani nikaanza kidogodogo si ndo nikazoea nikawa addicted kuanzia shulen hadi nusu nifukuzwe shule si mpaka chuo kununua ule mchachu nikazoea sasa nikaamua kupunguza mpaka nikaja shtukia nimeacha mana kwenye pochi ninabeba yani ni shida acha tu
Ugonjwa hauchagui educated na asiye educated.... kama fashen basi hii imenipiga mtama.
tupe uzoefu jinsi ulivyoacha mkuu. was it easy to stop that habit?