Wanawake mnao wakataa wanaume mnashida gani?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Unakuta binti unamtongoza ila mwanzo wa safari anakukataa kabisa... Unaweka pending..

Unaenda kwa mwingine unamtongoza mwingine nae anakataa vile vile . Wewe kazi yako ni kutongoza tuu yani heka heka haziishi..

Nishatongoza mabinti wengi sana kwa lengo la kuwaoa ila tabu tupu wakijua tuu unataka kumuoa anakupiga chini.. hivi shida iko wapi kwa hawa wanawake

Wanasema hakuna wanaume wa kuwaoa ila mbona sisi mnatukataa

Kwa kweli mimi ni mpole sana na mvumilivu sana , nikimfukuzia mwanamke miezi sita mfululizo haeleweki naweka pending nakua nakumbushia kumbushia ila wapi

Ni kwanini wanawake mnatukataa sisi tulio serious na maisha na tupo teyari kuwaoa?
 
Unaenda kwa mwingine unamtongoza mwingine nae anakataa vile vile . Wewe kazi yako ni kutingoza tuu yani heka heka haziishi..

Huna vigezo labda wanavyohitaji
 
IMG_7069.jpg
 
Ujengewe sanamu sasa km bdo unatumia miezi sita kutongoza hawa wadada wa kizazi hki Cha nyoka
 
Unakuta binti unamtongoza ila mwanzo wa safari anakukataa kabisa... Unaweka pending..

Unaenda kwa mwingine unamtongoza mwingine nae anakataa vile vile . Wewe kazi yako ni kutingoza tuu yani heka heka haziishi..

Nishatongoza mabinti wengi sana kwa lengo la kuwaoa ila tabu tupu wakijua tuu unataka kumuoa anakupiga chini.. hivi shida iko wapi kwa hawa wanawake

Wanasema hakuna wanaume wa kuwaoa ila mbona sisi mnatukataa

Kwa kweli mimi ni mpole sana na mvumilivu sana , nikimfukuzia mwanamke miezi sita mfululizo haeleweki naweka pending nakua nakumbushia kumbushia ila wapi

Ni kwanini wanawake mnatukataa sisi tulio serious na maisha na tupo teyari kuwaoa?
mmh! Pole sana, usife moyo maana wanasema mtafutaji hachoki kutafuta, akichoka ujue kapata
 
Unakuta binti unamtongoza ila mwanzo wa safari anakukataa kabisa... Unaweka pending..

Unaenda kwa mwingine unamtongoza mwingine nae anakataa vile vile . Wewe kazi yako ni kutongoza tuu yani heka heka haziishi..

Nishatongoza mabinti wengi sana kwa lengo la kuwaoa ila tabu tupu wakijua tuu unataka kumuoa anakupiga chini.. hivi shida iko wapi kwa hawa wanawake

Wanasema hakuna wanaume wa kuwaoa ila mbona sisi mnatukataa

Kwa kweli mimi ni mpole sana na mvumilivu sana , nikimfukuzia mwanamke miezi sita mfululizo haeleweki naweka pending nakua nakumbushia kumbushia ila wapi

Ni kwanini wanawake mnatukataa sisi tulio serious na maisha na tupo teyari kuwaoa?
Nunua jeans ya kuchanika na tshirt yenye mapicha picha, nyoa kiduku au sokota dred, tupia na air force kisha wafuate, utakuja kunishukuru
 
Unakuta binti unamtongoza ila mwanzo wa safari anakukataa kabisa... Unaweka pending..

Unaenda kwa mwingine unamtongoza mwingine nae anakataa vile vile . Wewe kazi yako ni kutongoza tuu yani heka heka haziishi..

Nishatongoza mabinti wengi sana kwa lengo la kuwaoa ila tabu tupu wakijua tuu unataka kumuoa anakupiga chini.. hivi shida iko wapi kwa hawa wanawake

Wanasema hakuna wanaume wa kuwaoa ila mbona sisi mnatukataa

Kwa kweli mimi ni mpole sana na mvumilivu sana , nikimfukuzia mwanamke miezi sita mfululizo haeleweki naweka pending nakua nakumbushia kumbushia ila wapi

Ni kwanini wanawake mnatukataa sisi tulio serious na maisha na tupo teyari kuwaoa?
Unatakiwa utafute kuanzia 26yrs hawana mambo mengi akikataa ujue ni kweli kakataa, hawa under 24yrs utachukua vitunguu maji and na wewe ujivike sura ya muoaji kweli sio mwamba umening'iniza suruali ohoo wana akili na wao ujue anapima anaona mmh hapa sandakarawe amina
 
Back
Top Bottom