Wanawake mnalitambua hili

Wanawake mnalitambua hili

rico lee

Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
24
Reaction score
11
Hakuna Kitu Kizuri Kama Kupata Mwanamke Anaye Kuheshimu, Kukusikiliza Na Kukupa Mapenzi Motomoto.

Yaani Kuna Mda Mpaka Unatamani Kumwambia Awafundishe Mademu Zako Wengine
 
MKUU iyo Avatar ndo wewe!!! Nikajua matiti
 
Hakuna Kitu Kizuri Kama Kupata Mwanamke Anaye Kuheshimu, Kukusikiliza Na Kukupa Mapenzi Motomoto.

Yaani Kuna Mda Mpaka Unatamani Kumwambia Awafundishe Mademu Zako Wengine
Watu wamekomenti bila kusoma kwa makini hapo kwa red...
 
Wewe mwenyewe kipanga umwambie awafundishe mademu wako wengine midhari tayari mwalimu umempata
 
mwanamke kama huyo ukimtongoza akikuambia kuwa *"namuogopa mke wako atanipiga"* anza kufurahi kwani umeshaingia nusu fainal, lakini wengine tabu tupuu
 
Hakuna Kitu Kizuri Kama Kupata Mwanamke Anaye Kuheshimu, Kukusikiliza Na Kukupa Mapenzi Motomoto.

Yaani Kuna Mda Mpaka Unatamani Kumwambia Awafundishe Mademu Zako Wengine
Hiyo aya ya mwisho ndio imeshusha hadhi kidogo ya hii post. Otherwise, ujumbe mzuri.
 
Back
Top Bottom