ukitaka ndoa ife kua mkweliKimfaacho mtu chake, moyo wa mtu kichaka.
Hizo ndoa au hayo mahusiano wasipoambiana ukweli watachokana haraka na kuachana...
Ukweli himuweka mtu huru.
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha dharau mkuu,[emoji777][emoji777][emoji35]Mie nashindwa kuelewa kabisa y watu tynaumiza vichwa na ndoa. Wengi wetu zile prerequisites za ndoa hatuna. Mlishagegedana huko alafu leo hii mwataka muingie kwenye ndoa alafu zikiwashinda mnashangaa.
Ni sawa na mtu form four kapata d ya maths alafe eti naye anataka asome pcm sii kujidanganya tuu... Hana vigezo ndio sawa na sie watu hawana vigezo vyakuingia kwenye ndoa ila basi tuu tuna force mambo.
Tugegedane tuu wajameni au vipi
Hii wadau wa kubeti mnaiitaje??😂
[/QUOT Hapa naona vimelea vya double chance
Mie nashindwa kuelewa kabisa y watu tynaumiza vichwa na ndoa. Wengi wetu zile prerequisites za ndoa hatuna. Mlishagegedana huko alafu leo hii mwataka muingie kwenye ndoa alafu zikiwashinda mnashangaa.
Ni sawa na mtu form four kapata d ya maths alafe eti naye anataka asome pcm sii kujidanganya tuu... Hana vigezo ndio sawa na sie watu hawana vigezo vyakuingia kwenye ndoa ila basi tuu tuna force mambo.
Tugegedane tuu wajameni au vipi
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha dharau mkuu,[emoji777][emoji777][emoji35]
[emoji22][emoji29][emoji25]
ukitaka ndoa ife kua mkweli
WAPE MWONGOZO MKUU!!!