Wanawake mnakwama wapi?

Wanawake mnakwama wapi?

Alafu mtu aseme eti "JF hakuna la kijifunza" tutawafunga mpaka siku ya mwisho mtanyooka tu msije kujitetea mbele za Mungu kuwa hamkusikia.
Ujumbe muruha kwa wakosa radhi wote. Mijitu mingine imekulia majalalani hayajui utu wa mtu ndo maana yanaona kudharirisha madada ni sifa, midada yenyewe imekosa malezi ndo maana inajirahisi kutuma picha bila kutafakari. Moto wa milele utawashukia.

Asante mtoa mada.
 
Back
Top Bottom