Wanawake mnajiamini sana

Wanawake mnajiamini sana

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,800
Reaction score
8,987
Unamfanyakazi wako , unaishi naye unamsema vibaya ,unampiga kama mbwa halafu anapika unakula chakula chake kweli ?? Huogopi ipo siku atakuua ataweka sumu kwenye chakula ufe wewe na familia yako .
Jingine unamuachia watoto akae nao hata yule mdogo .

Halafu ukirudi kelele kuanzia uje hadi ulale mnatisha sana . Sijui mnaroho gani hamna utu. Hata kidogo . Jaribuni kuweka ujinga pembeni . Mtakuja kupikiwa nakula nyama za watoto zenu. Mkizani nyama za kuku .

Mtakula vizuri nakushiba mkija kugutuka katoto kamoja hakapo ndio utajua . Kama wewe ni mama jaribuni kuishi na msichana wako kwa akili.

Usiku mwema nakaribisha povu kwa wamama wasiojilewa .
 
Hata wanaume wapo wanaowatesa wake zao, lakini wanawapikia wanawafuria nyumba wanasafisha, na chakula wanapikiwa na hao waume wanakula bila kusita wala kuuliza.
 
Sana mtu anafua anapika anaogesha watoto wako , anawalisha , anadeki nyumba nzima anafanya usafi nje na ndani ila bado hii mijianamke inawatesa nakuwanyima mishahara yao
Dah hapo n dada kuwanyoosha hao maboss wapuuzi tuu, Ndo mana watoto wanateswa kwa kuchapwa ovyo kumbe maboss ndo chanzo
 
Ukimfikiria mwanamke na akili yake utachanganyikiwa
Mwanamke anafanya vitu vya kikatili mno tena dhidi ya mwanamke mwenzake (house girl)
Kuna siku jirani yangu alikuwa anataka kumpiga na panga house girl tena kafura ghafla nikaingia akashusha pumzi na kujidai mwema huku akiniambia namna house girl anavyomtesa "kimawazo"yani shem sijui nifanyeje Mimi!?"alisema
 
Wasichana sehem wanateswa ndio wanakaa kwa adabu na miaka mingi,ukiishi nae kama ndugu yako anaanza kukuona mnalingana anajiona mwenye nyumba sijui kwanin
 
Mmh yaani hata humu wapo wanajiona ujinga tu ila hawakai kujua kuwa ninavyotokaga watoto wanabakia nani??
Na huyoo dada wakazi na hakuna msaada kwa jirani maana wanaona kuwa watoto wapo na dada yao so hawana shida unamkumbuka yule mtoto aliyekatwa koromeo na dada wakazi je yule ambaye alimpiga na vitu vizito akafaa wadada wakazi watu waishi nao kwa akili wanauwezo hata wakufanya chochotee
 
Wasichana sehem wanateswa ndio wanakaa kwa adabu na miaka mingi,ukiishi nae kama ndugu yako anaanza kukuona mnalingana anajiona mwenye nyumba sijui kwanin
Huwezi ishi kama ndugu yako maana yupo kazini ila sio kumpiga mpaka kumuua
 
Ukimfikiria mwanamke na akili yake utachanganyikiwa
Mwanamke anafanya vitu vya kikatili mno tena dhidi ya mwanamke mwenzake (house girl)
Kuna siku jirani yangu alikuwa anataka kumpiga na panga house girl tena kafura ghafla nikaingia akashusha pumzi na kujidai mwema huku akiniambia namna house girl anavyomtesa "kimawazo"yani shem sijui nifanyeje Mimi!?"alisema
Mimi kama nikipata hela au mwekezaji waakili yangu nafungua shirika la msaada lakusaidia wasichana wakazi na watoto wasiojiweza ili watokane na matatizo yakufanya kazi kwa wenzao waweze kujikimu . Wasomee kozi .tu aipendayo na ajiajiri au aajiriwe subiri tu ipo siku watakosa wadada wakazi wafanye wenyewe tuoone kama wataweza
 
Back
Top Bottom