Wanawake mnahitaji nini hasa kwetu wanaume.,?

Ukifuatilia tabia za mwanamke kutaka kuzifahamu kila moja unaweza kuchanganyikiwa au ukajifunza upya kumpenda.
 
Kile kitu ambacho huna na huwezi kuwa nacho ambacho mwanaume mwenzio anacho.Hicho ndicho anataka.
 
nimesha muuliza
ananiambia kuwa hakuna tatizo lolote
Au kuna nguli mwenzio ameshaanza kumpa vishawishi, kwahiyo anakutafutia wewe visababu, ili hata usipikiwe chakula cha usiku
 

Wanaume wanahitaji nini kutoka kwa wanawake?
Tuanzie hapo kwanza, kisha ndio twende kwenye swali la msingi.
 
embu mwambie awe specific na nini anataka coz kwa mujibu wako unasema kwamba una mtimizia kila kitu, mkalishe kitako akudadavulie kinagaubaga nini anataka.
 
Kwa mtindo huu halafu wanalalamika mapenzi ya siku izi hayadumu
Tatizo lako na mpenzi wako unataka sisi wanawake wengine tukusaidie kujua mpenzi wako anataka nini!
Huwezi kujua mpenzi wako anataka nini ukiwa unatuuliza sisi yasiyotuhusu
 
Kwa mtindo huu halafu wanalalamika mapenzi ya siku izi hayadumu
Tatizo lako na mpenzi wako unataka sisi wanawake wengine tukusaidie kujua mpenzi wako anataka nini!
Huwezi kujua mpenzi wako anataka nini ukiwa unatuuliza sisi yasiyotuhusu

nimeshamuuliza sana lakini anasema hakuna tatizo lolote
 
Hata kama kila mwenye jinsia ya ke aki comment nini anataka kwa mwanaume haitatosha kukwambia nini huyo mpenzi wako anataka kutoka kwako,kaa nae uongee naye atakwambia tu wapi unakosea. Kama hutaki kumuuliza basi sikiliza kwa makini malalamiko yake utapata jibu!
Mahitaji hayafanani kama ambavyo watu hatufanani!!!!!
 

Hauli kabang habari ya mujini
 
Mi naweza kuongea kidogo hapa...
1.hii kitu kwanza mwanaume anasema "nakutimizia kila kitu" halafu akishaleta hela home anaona thats it.... hiviiiii mi nauliza ulinikuta sili kabla ya hapo? Nimekuja kutafuta wali kwako?
2.hii kitu ya kuwafanya wake zenu matrekta akufanyie kila kitu wewe kazi kuweka naniliu zako kwenye kochi tu halafu hakuna any appreciation mnadhani wanawake wanajisikia wanapendwa kweli hapo?
3. Halafu na wengine hawajawahi kuwatoa wake zao toka waoane na zawadi hajawahi kumpa hata kurudi home na hereni basi mke wangu hizi... unadhani atalia?
4. Ukija kwenye gemu wengine hovyo kabisa anakuparamia tu utadhani nini sijui mtu ndo umechoka balaa hapo... halafu kifo cha mende tu mtu ana pump tu kama anajaza upepo kwenye baiskeli...akijitahidi sana kuweka ujanja ndo kafanya mbuzi kagoma... inahusu?! Hakuna any romance and lack of skills! Kah hebu nkojoe nkalale mie
 
Punguza upendo.......
May be akimiss uwepo wapo na vitu vingine ataweza kuona value yko...
She have to miss ur presence
 

Nimecheka mno kaka... Yeke uhoyire???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…