Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
huyo atakua mchaga
utakuwa chasaka wewe.
maana ukikaa na mchaga wallet inachomoka yenyewesio mchaga uyo
jembe afrika
Habari zenu wan MMU
nimekuwa katika uhusiano ya kimapenzi na mpenzi wangu kwa muda sasa
ninamtimizia kila kitu lakini
bado analalamika simjali
kama ni upendo namwonyesha upendo wa dhati.,
kama ni kumsaidia matatizo yake namsaidia.,
na vingine vingi
swali langu
Wanawake mnahitaji nini zaidi kutoka kwetu wanaume?
huyo atakua mchaga
matusi tafadhali
kuna wadau wanasema kufanyia sex eneo moja inachosha...!
kwa hiyo na wewe jaribu kuwa unabadilisha badilisha mazingira ya kumgegedea mpenzi wako!
sio kila siku kwenye kakitanda kako ka springi na makelele yote yale! chukwi chukwi chukwi mpaka mtoto wa watu anaumia mgongo..!