Wanawake mna ubinafsi sana.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Ikitokea bahati mbaya sisi tukamaliza wakati ninyi bado mnahitaji,mnalalamika sana na kuleta dharau.Inapotokea upande wa pili wa sarafu,mwanamke kashafika kileleni halafu wewe bado unahitaji ni balaa kwani huwa hawataki kuendelea kabisa na ukilazimisha mtaishia kuumizana tu.
 
Kweli hasa sie wala asali za igoweko, huwa mpaa tupate goli la kwanza nii dakika 50 kwenda juu.


Ukitoka ndani mpaa mzinga wa asali unaona kama unahitaji siku mbili mpaa ukauke.
 
ukizaliwa mwanaume.....we ujue...kila kitu kwako...kitakuwa ni tabu....!

Huo wimbo ulikuwa na maana...!
 
Back
Top Bottom