Wanawake mna roho ngumu asee

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Yaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa!!

Sitokaa nimsahau binti niliyekaa naye kwenye mahusiano miaka 3. Nilimpenda kwa moyo wangu wote. Nikamtambulisha kwa wazee! Ghafla akaanzisha ugomvi na kujifanya ameninua. Nikapenyezewa na nduguye kuwa anaolewa. Kweli mwezi haujaisha binti akafunga ndoa. Asee nikawa disappointed saana. Nikaomba likizo kazini nikaenda kujitibu majeraha ya moyo.
 
Pole sana mkuu Roho ngumu kuliko zote za wanawake ni kuvumilia kupewa denda na mlevi wa gongo au matapu tapu wakati wa alfajili hiyo ya kuachwa ni wewe tu hukujiongeza kutafuta spare

CC Zero IQ
 
Karib duniani bro. Na hao ndio wanawake. Cha msingi vumilia. Pia chukua time upone.
Mm nikishapitia huko, mtu anakutafutia sabab tu ..anaanzisha timbwili ili apate kukuacha.

Yes ilinichukua muda kuelewa .. why and how mtu unaempenda unajitolea kwake kias hiko anafanya jambo hilo.
Hutapata jib sahihi.. ila ujiwazie ww kwa sasa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
the journey of love needs LION HEART.
 
Weee muda wote uo ulisubiri nini acha wamchukue ulikua unamlisha upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa uliyoyafanya ndani ya hiyo miaka mitatu ni haya.
1.Kutumia condom
2.Kuvizia safezone ndo umgegede
3.Kuchomoa sekunde chache kabla huja ejaculate

Nadhani umenielewa!!
Nilijilaumu saana, lakn kwa sasa ninamshukuru MUNGU kupita maelezo, maana kuna jambo kubwa saana MUNGU aliniepusha nalo. Kumbe yule kidume alijibebesha mzigo
 
Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…