Unawezaje kujua tabia ya mtu wakati hujaishi naeJibu simple ni 'uanaume' wao, in English tuseme 'masculinity' by body features na tabia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Wanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
ha ha ha hiyo hatari kaka
Itakuwa Le Mbebez huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
Thubutuuuu!Itakuwa Le Mbebez huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni HE tena mwanaume wa mkoaniMnnhh... Acapulco wewe ni she au he!??
mummito mvuto wa mtu wewe unauona kwa kuangalia nnHahah... Ila wana mvuto
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
kila MTU shoga ana vionjo vyake yaan pamoja na sifa hizo zoote mm ugonjwa wangu ni mwanaume msafiiii loh hapa uwa sinaga ujanjaYani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
Huyo mmoja ndio ujumuishe wote?.Wanawake mna siri gani ya kuwapenda wanaume hawa achana na umaarufu wao maana kuna tukio liliwahi kutokea la kupigwa mwanamke mmoja kwa kisa cha kumpenda huyo JOHN DUMELO mpaka akaachana na mume wake.
Mimi 50% ni akili kubwa...kila MTU shoga ana vionjo vyake yaan pamoja na sifa hizo zoote mm ugonjwa wangu ni mwanaume msafiiii loh hapa uwa sinaga ujanja
Ha ha ha NIfah mtaje bana asije akachukuliwa na wengineYani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
hahaha huyo atakuwa si mwingine ila ni mchawi #mshana jr#Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
Le mutuz, le akili kubwaz , le mbebez, le niffah, le anakuzimiaga le sana[emoji23] [emoji23]Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
Nikimtaja nitasababisha taharuki kubwa...nami sitaki iwe hivyo.Ha ha ha NIfah mtaje bana asije akachukuliwa na wengine
hahaha huyo atakuwa si mwingine ila ni mchawi #mshana jr#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Le mutuz, le akili kubwaz , le mbebez, le niffah, le anakuzimiaga le sana[emoji23] [emoji23]
Atakuwa #Nyani ngabu# fisi mzeehahaha huyo atakuwa si mwingine ila ni mchawi #mshana jr#
Akili kubwa how??Mimi 50% ni akili kubwa...
Vingine vinafuata [emoji4][emoji4].