Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
ha ha ha ha naye anapendwa na mabinti eh?mkuu umemsahau mmoja anaitwa kijanamtanashati anatokea tanzania
ha ha ha ha lemutuz anafahamika tanzania tuHapo kwenye list muongeze na Le mutuz
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu umenifanya usingizi upotee kwa kicheko. DaaahWanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
Teh teh..Mkuu umeuaaaWanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
Hao huwawezi kaka yaani wana roho za dunia nyingine hao[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu umenifanya usingizi upotee kwa kicheko. Daaah
ha ha ha hiyo hatari kakaWanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
Wanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
Yaani ukiwapata tumia kama mswaki wiki tatu badilisha ila uwe makini kuna wengine wana migonjwa yao wasije wakakutanguliza ardhini.Wewe jamaa! Umenisababishia kicheko.
Ni kweli hao viumbe hawanaga sababu.
the only one?Jibu simple ni 'uanaume' wao, in English tuseme 'masculinity' by body features na tabia
For me that's the reason,. Ukiangalia unaona mwanaume na haiba ya kiume, na hilo ts everything a woman wants/loves,..the only one?