Wanawake mna mambo jamani!

Tunasema kwa sababu yapo mnayoyafanya na tunayaona sasa mnataka tunyamaze?Na ninyi kama yapo ya kwetu c mseme???
 
Siku hiz hakuna kutongozana, siku hiz kuna sera ya sema shida yako, kwanin tusumbuane??
Ni kweli mkuu, hata vijana wenyewe siku hizi kutongoza hawajui kabisaaa, imebaki kujiumauma tu. Kwa kweli hata sikumbuki mara ya mwisho mimi nilitongozwa lini nikajisikia nimetongozeka!
 
ndo kawaid yao hao. utaskia bby ni credit vocha nimefulia. nkua makin nao 2.
 
kwani hela inatoka kwenye kiungo chochote mwilini? Ila papuchi ni kiungo cha mwili kwa hiyo umakini zaid utahusika hapo.
 
ivi huoni raha kumuonga mpenzio lolz! very sexy too hihihih!
 
nahisi ntakuwa nabaki kule kule kwenye business news na matangazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…