Wanawake mmetushinda kwa tabia

Mtu wa hivyo ameshakata tamaa ameamua kujichagulia maisha yake anayoona yapo sawa mkuu
 
Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
Huyu alianza hivi asubuhi ya leo
 
Asa wewe unasubiri nini mpaka saahizi,wikiendi imeanza tokea jana.mida ya kuvesha hii
Mkuu, mitayari nipo huku chini soko la zamani kwa mama muuza kindi na wanzuki, napuliza tu polepole kabla ya kunywa...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ujue mtu ukishakata tamaa na kuolewa lolote unaona sawa hivi jaman lazima wote tuolewe sio kila mwanamke ambaye ameandikiwa yeye ni wa kuolewa
Wewe hutaki ndoa eeehh. shauri yako
 
Wewe hutaki ndoa eeehh. shauri yako
Nipo kwenye ndoa mkuu ningekua sipo wala nisingekua nahangaika kama hivyo sio lazima wote tuolewe wengine tuna nyota za kucheza kwaito tu kwenye harusi za wenzetu
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha hoja bungeniiiiiiiiiiiii napita tu
 
Nipo kwenye ndoa mkuu ningekua sipo wala nisingekua nahangaika kama hivyo sio lazima wote tuolewe wengine tuna nyota za kucheza kwaito tu kwenye harusi za wenzetu
Huko kwenye ndoa napo ni wenge tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…